MBWANA SAMATA ANG’AA GENK IKIIBUKA NA USHINDI WA GOLI 5-2

Na:Adam Ramadhani

Mbwana Samata ameemdelea kufanya vizuri katika timu yake ya KRC Genk ambapo katika mchezo wao  wa kwanza wa Europa League hatua ya 16 bora dhidi ya KAA Gent ameendelea kuweka historia katika timu hiyo baada ya  kujiandikia mabao mawili katika ushindi wa mabao 5-2

KAA Gent ambao watalazimika kuifuata KRC Genk katika mchezo wa marudiano March 16, 2017.

 

Samata amekuwa na msimu mzuri katika kuichezea timu hiyo kwani kwa wiki iliyopita aliweza kuifungia timu yake magoli mawili katika ligi yao.

TOA MAONI YAKO HAPA