Na:Ayoub Mwigune

Mchezaji wa timu ya Simba SC, Mohamed Hussein amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa Ligi Kuu ya Vodacom wa mwezi Mei kwa msimu wa 2016/2017,Hussein aliwashinda wachezaji Haruna Niyonzima wa Yanga na Shabani Idd wa Azam FC. 

Katika mwezi Mei kulikuwa na raundi tatu ambazo Hussein alicheza kwa dakika zote 270 na kutoa mchango mkubwa katika kuisadia timu yake kubaki katika nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi Kuu ya Vodacom.Pia alionesha nidhamu ya hali ya juu, hivyo kutopewa onyo la aina yoyote.

 

                                                                                                                        Picha na mtandao.

 

Kwa kushinda tuzo hiyo, MOHAMEID HUSSEIN  atazawadiwa kitita cha sh. 1,000,000 (milioni moja) kutoka kwa wadhamini wa Ligi hiyo, kampuni ya Vodacom Tanzania.Wachezaji .

TOA MAONI YAKO HAPA