IDADI YA RAIA WA BURUNDI WANAOINGIA NCHINI KUTAFUTA HIFADHI YA UKIMBIZI YAZIDI KUONGEZEKA

Na: Mwandishi wetu

Idadi ya Raia wa Burundi wanaoingia nchini kutafuta hifadhi ya ukimbizi inazidi kuongezeka siku hadi siku ambapo hadi kufikia tarehe `17 Oktoba, 2015 idadi hiyo ilikuwa imefikia 107,112.

Bofya kichwa cha habari kwa habari zaidi.......

 

        

 USHARIKA WA MAZIMBU KUIBUKA KIDEDEA MASHINDANO YA UIMBAJI MAALUM

Na: ALFRED LUKONGE

Kwaya   Kuu  ya   Usharika  wa  Mazimbu   mkoani   Morogoro   imeibuka   kidedea  katika   mashindano  ya  uimbaji   maalum   yaliyofanyika    katika   Kanisa  la  Kiinjili   la  Kilutheli  Tanzania  Usharika  wa   Majengo.

Bofya kichwa cha habari kwa habari zaidi.......

 

      

WAHITIMU KIDATO CHA NNE WAMTANGULIZE MUNGU KATIKA MITIHANI YAO

Na: IRIMINA MATERU

Wanafunzi wanaotarajia kuhitimu kidato cha nne katika Shule za Sekondari kote nchini wametakiwa kumtanguliza Mungu katika mitihani yao na kutokata tamaa katika maisha mengine watayoenda kuanza baada ya shule

Bofya kichwa cha habari kwa habari zaidi.......

 

Subcategories

TOA MAONI YAKO HAPA