Na. Halima Katala Mbozi

Rais Mstaafu wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ameahidi kushirikiana na chuo kikuu cha sokoine cha Kilimo SUA katika kusaidia kufanya mageuzi kwenye kilimo hususani ufugaji.

 

Kauli hiyo ameitoa kwenye ziara yake ya siku moja chuoni hapo iliyokuwa na lengo  lengo la kujifunza mbinu bora  mbalimbali za ufugaji ili kuoongeza ufanisi kwenye shamba lake.

 

Bofya hapa kwa Habari zaidi..........

 

Invasive plant replacing native species

   

This short video demonstrates replacement of once a pristine forest by invasive plant species Cedrela odorata. The process is happening in Kimboza Forest Reserve, Tanzania

Bofya hapa kwa Habari zaidi..........

 

                                         

Na:Bujaga Izengo Kadago- Ofisi ya Mawasiliano na Masoko

Makamu wa Mkuu wa Chuo kikuu cha Sokoine cha Kilimo, SUA, Prof Raphael Chibunda amewahakikishia viongozi wa mradi wa utafiti unaoshughulika na afya ya maliasili za majini, TRAHESA, kupewa kila aina ya msaada na SUA ili kufanikisha malengo yake kwa manufaa ya nchi husika na ulimwengu kwa jumla.

Hakikisho hilo limetolewa leo kufuatia viongozi wa mradi wa TRAHESA kumtembelea Makamu wa mkuu wa Chuo ofisini kwake kwa lengo la kujitambulisha rasmi baada ya uteuzi wa Prof. Chibunda mapema mwaka huu.

Bofya hapa kwa Habari zaidi..........

 

Subcategories

TOA MAONI YAKO HAPA