LATEST NEWS

MONELA APEWA NGAO YA HESHIMA

MONELA APEWA NGAO YA HESHIMA

16 October 2018
Na Halima Katala Mbozi Ndaki ya Misitu Wanyamapori na Utalii  kutoka Chuo  Kikuu cha Sokoine  cha Kilimo(SUA) kwa kutambua na kuthamini mchango ambao  ameuotoa  katika kipindi cha  uongozi wake aliyekuwa Makamu wa mkuu w...
Readmore
 WAKULIMA WA PAMBA WANUFAIKA NA MKOPO WA MATREKTA TOKA TADB

WAKULIMA WA PAMBA WANUFAIKA NA MKOPO WA MATREKTA TOKA TADB

16 October 2018
Na: Catherine Mangula Ogessa  Vyama vya msingi vya wakulima hususani vinavyojihusisha na kilimo cha pamba vimepata mkopo wa matrekata kutoka Benki ya Maendeleo ya Kilimo-TADB, ambapo  katika mkopo huo watatakiwa kulipia asilimia  20 tu...
Readmore
DKT. TIZEBA: NI WAKATI WA WATANZANIA KUFANYA KILIMO CHA KIBIASHARA

DKT. TIZEBA: NI WAKATI WA WATANZANIA KUFANYA KILIMO CHA KIBIASHARA

12 October 2018
Na Catherine Mangula Ogessa Waziri wa Kilimo Mhandisi Dkt. Charles Tizeba amesema Serikali inafanya  jitihada za makusudi za kusisitiza kilimo cha biashara ili wananchi wake  waweze kuondokana na umaskini wa kipato na si kilimo cha kujikim...
Readmore
SUA YAKABIDHI KITUO CHA POLISI KWA JESHI LA POLISI MKOA WA MOROGORO

SUA YAKABIDHI KITUO CHA POLISI KWA JESHI LA POLISI MKOA WA MOROGORO

05 September 2018
Na: Alfred Lukonge. Imeelezwa kwamba jeshi la polisi mkoani Morogoro linathamini jitihada zinazofanywa na Taasisi mbalimbali ikiwemo Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo SUA na wananchi katika kuunga mkono jitihada za jeshi hilo za kupambana na uhalifu...
Readmore
MAOFISA WA TFS WAFANYA ZIARA CHUONI SUA

MAOFISA WA TFS WAFANYA ZIARA CHUONI SUA

28 August 2018
Na: Alfred Lukonge. Maofisa wa Wakala wa Huduma za Misitu nchini TFS wamefanya ziara katika Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo SUA ikiwa na lengo la kujifunza uchakataji wa bidhaa za mianzi pamoja na uzalishaji bora wa miche ya zao hilo. Akizungumza k...
Readmore