LATEST NEWS

PROF. AMANDUS MHAIRWA - WAFUGAJI WA KUKU WASHIRIKIANE KUTOKOMEZA MAGONJWA YA KUKU

PROF. AMANDUS MHAIRWA - WAFUGAJI WA KUKU WASHIRIKIANE KUTOKOMEZA MAGONJWA YA KUKU

22 May 2019
Prof . Amandus Mhairwa Mkuu wa Ndaki ya Tiba ya Wanyama katika Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine amewataka watanzania wanaojihusisha na ufugaji wa kuku kushirikiana kwa pamoja kutokomeza magonjwa ya kuku ikiwemo mdonde . Ameyasema hayo akiwa katika...
Readmore
VIDEO YA RAIS MAGUFULI AKIPONGEZA MFUMO WA MAWASILIANO UTAKAOWASAIDIA WAKULIMA KUPATA TAARIFA ZA KILIMO

VIDEO YA RAIS MAGUFULI AKIPONGEZA MFUMO WA MAWASILIANO UTAKAOWASAIDIA WAKULIMA KUPATA TAARIFA ZA KILIMO

21 May 2019
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amelipongeza shirika la Mawasiliano Tanzania TTCL kwa kuanzisaha mfumo wa mawasiliano utakaowasaidia wakulima kupata taarifa mbalimbali za kilimo nchini. Rais Magufuli ameota pongezi hizo May 21 wakati...
Readmore
KITUO CHA KUFUNDISHIA WAKULIMA VIJIJINI KUJENGWA NA WAKOREA SUA

KITUO CHA KUFUNDISHIA WAKULIMA VIJIJINI KUJENGWA NA WAKOREA SUA

21 May 2019
Chuo Kikuu  Cha Sokoine Cha Kilimo (SUA) kimeingia Mkataba wa Makubaliano wa miaka mitano  na Chuo Kikuu cha Yeungnam cha Korea  Kusini  ili kujenga kituo cha kufundishia  wakulima   vijijini  lengo likiwa ni...
Readmore

SUAFM IPO HEWANI KUPITIA 101.1

SUAMEDIA-BANNER

suamedia banner