WANAFUNZI WAPYA WAKARIBISHWA KATIKA WIKI YA KUZOEA MAZINGIRA SUA

Principal  Warden Nona Makaranga akiongea na wanafunzi wapya katika ufunguzi na kufunga siku Orientation week Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA).Baadhi ya wanafunzi wapya wakisikiliza kwa makini katika  Orientation week Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA).(Picha na Tatyana Celestine)

SUAMEDIA-BANNER

suamedia banner