WAHANDISI WA MAJI 67 WAMEFUTWA KAZI KWA KUSHINDWA KUTEKELEZA MAJUKUMU YAO

Na. Vedasto George

Naibu Waziri wa Maji Jumaa Aweso amesema changamoto kubwa inayo kwamisha wakulima nchini kuzalisha mazao yenye ubora wa hali ya juu  ni ukosefu wa mbegu zenye sifa ambazo zinaweza kuwa na tija kwa wakulima na taifa.


Akizungumza  mara baada ya kutembelea Maonesho ya 26 ya  Wakulima maarufu Nanenane Kanda ya
Mashariki yanayofanyika Mkoa wa Morogoro Aweso amesema kuwa ipo haja ya Wizara husika kuangalia
kwa kina uwezekano wa upatikanaji wa mbegu bora zinazoweza kuwa mkombozi kwa wakulima nchini.
Aidha Aweso ameongeza kuwa wizara ya maji tayari imeshafanya mageuzi makubwa katika wizara
hiyo ambapo wahandisi  wa maji takribani 67 tayali wamefutwa kazi kwa kushindwa
kutekeleza majukumu yao ipaswavyo.

SUAMEDIA-BANNER

suamedia banner