KIDATO CHA NNE KUMALIZA MITIHANI KWA USALAMA

     

Na: ADAM RAMADHANI

Wanafunzi wa Shule za Sekondari nchini Tanzania leo wamemaliza mitihani yao ya kuhitimu kidato cha nne, mitihani iliyoanza Novemba 2.

Akizungumzia mitihani hiyo Mwalimu wa shule ya sekondari Sua Mkombozi Tabwene amesema wanafunzi  waliofanya mitihani katika shule hiyo ni 191 na  hakuna tukio  lolote la uhalifu lililotokea shuleni hapo

Bofya hapa kwa Habari zaidi..........

 

MIFUKO YA AGRO Z YAWA KIBOKO YA WADUDU WAHARIBIFU WA NAFAKA

   

Na: CALVIN E. GWABARA

Katika kuhakikisha mkulima anapunguziwa gharama, kuharibika kwa mazao baada ya kuvuna na kuondokana na matumizi ya viuatilifu wakati wa kuhifadhi mazao baada ya kuvuna kampuni ya AGRO Z imebuni teknolojia ya uhifadhi wa nafaka kwenye mifuko maalumu ili kumsaidia mkulima kuondokana na hasara baada ya kuvuna.

Bofya hapa kwa Habari zaidi..........

WANANCHI WALALAMIKIA KUPANDA KWA BEI YA NYAMA

   

Na: ADAM RAMADHANI

Wananchi kutoka Kata za Mazimbu, Mawenzi na Mafiga  katika Manispaa ya Mkoa wa  Morogoro wamelalamika juu ya kupanda kwa bei ya nyama ya ng’ombe  katika kipindi hiki.

Bofya hapa kwa Habari zaidi..........

RAISI WA TANZANIA DK JOHN POMBE MAGUFULI AWAFURAHISHA WAKAZI WA MOROGORO

PICHA NA MTANDAO         

Na: AYOUB  MWIGUNE

Wakazi mbalimbali wa Mkoa wa Morogoro wamefurahishwa  na utendaji kazi wa Raisi wa awamu ya tano dk  John Pombe Magufuli  huku wakimuomba pia aweze kuendelea na ziara  za kushtukiza  katika ofisi mbalimbali  hata zile za sekta binafsi .

Bofya hapa kwa Habari zaidi..........

VIONGOZI WA SERIKALI, WAFANYABIASHARA, JAMII NA WADAU WAKUMBUKE WALIKOTOKA

   

Na: TATYANA CELESTINE

Viongozi wa Serikali, wafanyabiashara, Jamii pamoja na Wadau mbalimbali nchini wametakiwa kukumbuka walikotoka hasa katika Sekta ya Elimu kwa kutoa msaada na kuboresha miundo mbinu mbalimbali katika mashule na maeneo mengine ya nayogusa jamii moja kwamoja

Bofya hapa kwa Habari zaidi..........

WANATAALUMA WATAKIWA KUJITOLEA KUTATUA MATATIZO YA KIJAMII

    

Na: ALFRED LUKONGE

Msemaji wa  shirika lisilo la  kiserikali la Rural Development Volunteers Associations (RDVA) linalofanya kazi za kujitolea Bw. Mathew Emilius amesema si sahihi wananchi kuiachia  Serikali peke yake kutatua matatizo ya jamii wakati kuna wimbi la wanataaluma wanaoweza kufanya shughuli hizo kwa njia ya kujitolea.

Bofya hapa kwa Habari zaidi..........

 

KKKT USHARIKA WA MAJENGO KUZINDUA SEMINA YA NENO LA MUNGU

          

Na: ALFRED LUKONGE

Mkuu wa Kanisa la Kilutheli jimbo la  Morogoro Mchungaji  Reginald Makule amesema waumini wajiandae  kufunguliwa  kifungo chochote  walichonacho  kama magonjwa, umaskini na  mapepo  kwakuwa wiki hii ni wiki ya kwenda kwa usalama kiroho.

Bofya hapa kwa Habari zaidi..........

WANAFUNZI WA MWAKA WA KWANZA SUA WATAKIWA KUSOMA KWA BIDII NA KUEPUKA MAKUNDI MABAYA

   

NA: GERALD LWOMILE

Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo SUA, kimewataka wanafunzi wa mwaka wa kwanza chuoni hapo, kuhakikisha wanafanya kilichowaleta chuoni na kuepuka makundi na kufanya mambo yanayoweza kupelekea kushindwa kufanya vizuri katika masomo au hata kufukuzwa chuoni.

Bofya hapa kwa Habari zaidi..........

 

UDAHILI UNAENDELEA CHUO KIKUU CHA SOKOINE CHA KILIMO (SUA)

    

Na: ALFRED LUKONGE

Udahili   wa   wanafunzi  wapya katika Chuo Kikuu Cha  Sokoine Cha Kilimo ( SUA)  Mkoani  Morogoro  unaendelea  vizuri  na wanategemea kudahili idadi  ya wanafunzi  elfu  mbili na mia tano kwa muhula wa masomo 2015/2016.

Bofya hapa kwa Habari zaidi..........

WAKRISTO WAHIMIZWA KUISHI KATIKA UPENDO WA MUNGU

PICHA NA: ALFRED LUKONGE

   

Na: MNGEREZA MNTAMBO

Mratibu  wa  mkutano  wa   Injili  maarufu kama  Makambi  katika kanisa la Wadventista wa Sabato Misufini mkoani  Morogoro  Thomas Makubi  amesema watu  waliofika  mwaka  huu wamechota  mengi  ikiwemo  namna  ya  kuishi  ndani  ya  upendo  wa  Mungu.

Bofya hapa kwa Habari zaidi..........

MAFURIKO YAMEATHIRI WANANCHI WA KILAKALA MANISPAA YA MOROGORO

PICHA Na: IRIMINA MATERU

 

Na: IRIMINA MATERU

Wananchi wa kata ya Kilakala Manispaa ya Morogoro Wameiomba Serikali kuwapatia msaada ukiwemo wa chakula kutokana na kuathirika kwa mafuriko yaliyotokana na mvua iliyonyesha usiku wa tarehe 30 mwezi uliopita.

Bofya hapa kwa Habari zaidi.......

WABUNGE, MADIWANI WATEULE WAASWA KUSHIRIKIANA NA RAIS

      

Na: IRIMINA MATERU

Wabunge pamoja na Madiwani wametakiwa kushirikiana bega kwa bega na Rais Mteule Dr. John Pombe Magufuli huku wakiondoa  tofauti za vyama vyao kwani kwa kufanya hivyo kutasaidia  kufanya kazi kikamilifu ikiwemo kutekeleza ahadi wa yale waliyoyaahidi katika kampeni zao

Bofya hapa kwa Habari zaidi.......

 

WAKAZI WA MANISPAA YA MOROGORO KUPATA FURSA YA MATIBABU TOKA MAREKANI

      

Na: IRIMINA MATERU

Shirika la Marekani linalojihusisha na huduma ya kutoa madawa kwa kukishirikiana na Kanisa la Kiimani lililopo Kola B mkoani Morogoro limewashukuru madaktari wa  Hospital ya Mkoa wa Morogoro kwa ushirikiano kwa kutoa huduma ya kiafya mkoani Morogoro .

 

Bofya hapa kwa Habari zaidi.......

WANAWAKE WASHAURIWA KUFUGA SAMAKI KUODOKANA NA UMASKINI

   

Na: FARIDA MKONGWE

Wakulima na wafugaji wameshauriwa kujihusisha na shughuli za ufugaji wa samaki kwa kuwa ufugaji huo una faida kubwa na unaweza kuwa ni chanzo cha kuondokana na umaskini.

 

Bofya hapa kwa Habari zaidi........

HALI YA USAFI SOKO KUU LA MKOA MOROGORO NI YA KURIDHISHA

      

HALI YA USAFI SOKO KUU LA MKOA MOROGORO INAKURIDHISHA

Na: AYOUB  MWIGUNE

Hali ya usafi ndani ya soko kuu la mkoa wa Morogoro imekuwa ni ya kuridhisha kutokana na jitihada mbalimbali zilizofanywa na viongozi pamoja na wafanyabiashara waliopo ndani ya soko hilo kusafisha mitaro iliyokuwa imeziba.

 

 Bofya hapa kwa Habari zaidi.......

MKUU WA WILAYA MOROGORO KUJITAMBULISHA CHUO KIKUU CHA SOKOINE CHA KILIMO (SUA)

 
  
   

MKUU WA WILAYA MOROGORO KUJITAMBULISHA CHUO KIKUU CHA SOKOINE CHA KILIMO (SUA)

Na:HALIMA KATALA

Mkuu  mpya   wa  Wilaya   ya  Morogoro    Mh. Muhingo Rweyemamu  ametembelea Chuo  Kikuu  cha Sokoine cha Kilimo SUA ili kujitambulisha rasmi na kupata uzoefu  pamoja  kujifunza mambo mbalimbali kuhusu chuo.

Bofya kichwa cha habari kwa habari zaidi.......

VILEO MWISHO SAA SITA USIKU KUPISHA UCHAGUZI MKUU 2015- DKT. RUTENGWE

        

VILEO MWISHO SAA SITA USIKU KUPISHA UCHAGUZI MKUU 2015- DKT. RUTENGWE

Na:TATYANA CELESTINE 

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro  Dkt. Rajabu Rutengwe amewaagiza wamiliki wa Baa na Mamlaka  zinazotoa Leseni ya bidhaa za  vileo kuanzia tar 24-27 Octoba  2015 kufunga huduma ya baa kuanzia saa sita usiku na kutouza vileo kama viroba bila kuzingatia miiko ya biashara hizo kwa kupuuza agizo hilo kutapelekea uvunjifu wa Amani siku ya uchaguzi  ya tar 25 Octoba

Bofya kichwa cha habari kwa habari zaidi.......

ASKOFU TELESPHOR MKUDE AITANGAZA PAROKIA YA MLIMA CARMEL KUWA PAROKIA KAMILI

  PICHA NA ALFRED LUKONGE   

ASKOFU TELESPHOR MKUDE AITANGAZA PAROKIA YA MLIMA CARMEL KUWA PAROKIA KAMILI

Na: ALFRED LUKONGE

Parokia ya   Bikira   Maria   ya  Mlima  Carmel  Kihonda  Maghorofani katika Manispaa ya Morogoro   imetangazwa   kuwa  Parokia   kamili   na  Mhashamu   Askofu  Telesphor  Mkude    wa   Jimbo  la  Morogoro   wakati  wa   sherehe   ya  kuadhimisha  miaka  mia tano  ya  kuzaliwa  mtakatifu   Teresia   wa   Havila.

Bofya kichwa cha habari kwa habari zaidi.......

 

IDADI YA RAIA WA BURUNDI WANAOINGIA NCHINI KUTAFUTA HIFADHI YA UKIMBIZI YAZIDI KUONGEZEKA


  
  

IDADI YA RAIA WA BURUNDI WANAOINGIA NCHINI KUTAFUTA HIFADHI YA UKIMBIZI YAZIDI KUONGEZEKA

Na: Mwandishi wetu

Idadi ya Raia wa Burundi wanaoingia nchini kutafuta hifadhi ya ukimbizi inazidi kuongezeka siku hadi siku ambapo hadi kufikia tarehe `17 Oktoba, 2015 idadi hiyo ilikuwa imefikia 107,112.

Bofya kichwa cha habari kwa habari zaidi.......

 

USHARIKA WA MAZIMBU KUIBUKA KIDEDEA MASHINDANO YA UIMBAJI MAALUM

        

 USHARIKA WA MAZIMBU KUIBUKA KIDEDEA MASHINDANO YA UIMBAJI MAALUM

Na: ALFRED LUKONGE

Kwaya   Kuu  ya   Usharika  wa  Mazimbu   mkoani   Morogoro   imeibuka   kidedea  katika   mashindano  ya  uimbaji   maalum   yaliyofanyika    katika   Kanisa  la  Kiinjili   la  Kilutheli  Tanzania  Usharika  wa   Majengo.

Bofya kichwa cha habari kwa habari zaidi.......

 

Subcategories

Page 50 of 52