LATEST ACTIVITIES

SUAMEDIA Yaendelea Kung'ara Kwenye Tuzo Za Umahiri Katika Kilimo Nchini

SUAMEDIA Yaendelea Kung'ara Kwenye Tuzo Za Umahiri Katika Kilimo Nchini

News 22 July 2018
Mwandishi wa Habari wa SUAMEDIA,Calvin Edward Gwabara ameibuka mshindi wa kwanza kwa upande wa Televisheni kwenye tuzo za Umahiri wa uandishi wa habari za mazao lishe na Lishe Nchini na kuwabwaga waandishi kutoka vyombo vingine vya habari nchini kwen...
Readmore
Highlighting the Training for Fish Farming entrepreneurs at Sokoine University of Agriculture

Highlighting the Training for Fish Farming entrepreneurs at Sokoine University of Agriculture

News 05 June 2018
Sokoine University of Agriculture (SUA) has successfully conducted a short course for fish farming entrepreneurs drawn. The training was conducted from 2nd to 5th May, 2018 and involved 30 participants including five female. Participants from Mo...
Readmore
SUA yampongeza mwandishi wa habari wa SUAMEDIA kwa kupata tuzo

SUA yampongeza mwandishi wa habari wa SUAMEDIA kwa kupata tuzo

News 19 May 2018
Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo SUA kupitia Taasisi ya Elimu ya Kujiendeleza ICE kimepongeza mwandishi wa habari wa SUAMEDIA Bw. Calvin Edward Gwabara kwa kuibuka kidedea katika Tuzo ya Mwandishi bora wa habari za Kilimo na Uchumi Kilimo kwa upande...
Readmore
Mwandishi wa SUAMEDIA Calvin Gwabara aibuka mshindi wa Tuzo ya Mwandishi bora wa habari za Kilimo na Uchumi Kilimo

Mwandishi wa SUAMEDIA Calvin Gwabara aibuka mshindi wa Tuzo ya Mwandishi bora wa habari za Kilimo na Uchumi Kilimo

News 16 May 2018
Mwandishi wa SUAMEDIA Calvin Edward Gwabara ameibuka mshindi wa Tuzo ya Mwandishi bora wa habari za Kilimo na Uchumi Kilimo kwa upande wa Radio katika tuzo zilizoandaliwa na Baraza la Habari Tanzania MCT 2017. Mwandishi huyo Mwandamizi katika ha...
Readmore
Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kuimarisha matumizi ya SUAMEDIA ili kuchochea maendeleo ya kilimo na ufugaji nchini

Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kuimarisha matumizi ya SUAMEDIA ili kuchochea maendeleo ya kilimo na ufugaji nchini

News 19 March 2018
Katika kuhakikisha Elimu itolewayo na SUA inawafikia wadau wengi hasa wakulima na wafugaji, Taasisi ya Elimu ya Kujiendeleza (ICE) inaendelea kujiimarisha katika kutoa huduma bora za ugani kupitia vipindi vya SUATV na SUAFM Radio. Akizungumza katika...
Readmore