Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo kwa kushirikiana na Taasisi ya kujenga uwezo kwa watu kujiletea maendeleo Afrika (AICAD) wanatangaza mafunzo ya ufugaji bora wa kuku yatakayofanyika kuanzia tarehe 17 – 20 Novemba, 2025. Ukumbi wa Taasisi ya Elimu ya Kujiendeleza (ICE). Read More… Pata fomu ya usajili hapa KUPAKUA FOMU BOFYA HAPA…
Read MoreSokoine University of Agriculture through the Institute of Continuing Education (ICE) and the School of Engineeringand Technology (SoET) hereby announces a Short CourseTraining Programme on Design, Installation and Maintenanceof Drip, Sprinkler and Furrow irrigation systems. Read More …
Read MoreSokoine University of Agriculture(SUA) Through the Institute of Continuing Education(ICE) and the School of Engineering and Technology(SOET)hereby announces a short course training on Design, installation and maintenance of drip,sprinkler and furrow irrigation systems. Date from 10-17 0f Nov.2025 fees. 700,000/= duration.7(seven)days. Conctacts person.0713 627450. KUPATA FOMU YA MAFUNZO Bofya HAPA…
Read MoreTaasisi ya Elimu ya kujiendeleza(ICE)kwa kushirikiana na Tasisi ya kujenga uwezo kwa watu kujiletea maendeleo barani Afrika(AICAD). Watatoa mafunzo ya ufugaji bora wa kuku kuanzia tarehe 03/11 hadi tarehe 06/11/2025.jaza fomu inayopatikana kwenye hii link hapa chini KUPAKUA FOMU BOFYA HAPA…
Read MoreSUA YAIBUKA NA USHINDI WA KWANZA KWENYE MAONESHO YA WAKULIMA NANENANE 2025.KANDA YA MASHARIKI. Chuo kikuu cha Sokoine cha kilimo SUA kimeibuka na ushindi wa kwanza katika kipengele cha mshindi wa jumla kwenye maonesho ya wakulima nanenane 2025.Akitoa pongezi hizo Makamu Mkuu wa Chuo.Prof.Raphael.Chibunda amewashukuru waoneshaji kutoka idara,ndaki na taasisi zote zilizo chini ya SUA […]
Read MoreTaasisi ya Elimu ya Kujiendeleza (ICE), kwa niaba ya Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), imeendesha mafunzo ya siku nne (4), juu ya ufugaji bora wa kuku, yakiwakutanisha wafugaji wa kuku na wajasiriamali kutoka mikoa ya Morogoro, Dodoma,Pwani(Kibaha).Dar es Salaam. Moshi na Tabora. Mafunzo haya yalilenga kuwajengea washiriki uelewa wa kina kuhusu mbinu bora […]
Read MorePokea tangazo la mafunzo ya muda mfupi wa ufugaji bora wa Kuku. TANGAZO LA KOZI FUPI YA MAFUNZO YA KUKU Fomu ya maombi ya ufugaji bora wa Kuku. FOMU YA MWOMBAJI YA UFUGAJI WA KUKU
Read MoreWajumbe wa Kamati ya Kuratibu Shughuli za Ugani zinazotekelezwa na Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) University-wide Outreach Committee (UWOC) wameishukuru Taasisi ya Elimu ya Kujiendeleza – ICE kwa kuandaa mafunzo ya kuwajengea uwezo wakisema yatakuwa chachu ya kuratibu shughuli za ugani zinazoendelea kwenye kila eneo hapa chuoni. Akifungua warsha hiyo, iliyofanyika katika Ukumbi wa Giraffe uliopo ICE […]
Read MoreWahitimu wa kozi ya mafunzo ya ufugaji bora wa samaki wamekipongeza chuo kikuu cha Sokoine cha kilimo(SUA) kwa juhudi zake za kutoa mafunzo yenye tija kwa jamii akizungumza kwa niaba ya wahitimu wenzake Bw.Emmanuel Lyaruu amesema tunatoa pongezi zetu nyingi kwa wakufunzi wetu na uongozi mzima wa Chuo hiki kwa kutupatia mafunzo haya ya ufugaji […]
Read MorePokea tangazo la mafunzo ya muda mfupi wa ufugaji bora wa samaki. TANGAZO LA MAFUNZO YA UFUGAJI WA SAMAKI – Des 2024-NEW Fomu ya maombi ya mafunzo ya ufugaji bora wa samaki. FOMU-YA-MAOMBI-YA-UFUGAJI-BORA-WA-SAMAKI
Read More