Chuo Kikuu Cha Sokoine Cha Kilimo (SUA) kimeshiriki kikamilifu katika maonesho ya kilimo, mifugo na uvuvi yaliyofanyika kanda ya mashariki inayojumuisha mikoa minne(4) (Morogoro,Pwani, Dar es salaam na Tanga).Maarufu kama maonesho ya Nanenane. Kama ilivyokawaida tangu kuanzishwa kwake, maonyesho haya yanafanyika katika viwanja vya Mwl. Julius. K. Nyerere vilivyopo katika Manispaa ya Morogoro. Kauli mbiu […]
Read MoreTaasisi ya Elimu ya kujiendeleza ICE kwa niaba ya chuo kikuu cha Sokoine cha kilimo (SUA) kupitia mradi wa Elimu ya juu kwa mabadiliko ya kiuchumi (HEET) iliendesha mafunzo ya muda mfupi ya siku nne(4) kwa wajasiliamali na wafugaji juu ya ufugaji wenye tija wa kuku.Mafunzo hayo yaliyofanyika kuanzia tarehe 29/01/2024 hadi tarehe 01/02/2024 katika ukumbi wa Girrafe […]
Read More