Taasisi ya Elimu ya kujiendeleza(ICE)kwa kushirikiana na Tasisi ya kujenga uwezo kwa watu kujiletea maendeleo barani Afrika(AICAD).
Watatoa mafunzo ya ufugaji bora wa kuku kuanzia tarehe 03/11 hadi tarehe 06/11/2025.jaza fomu inayopatikana kwenye hii link hapa chini