Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo kwa kushirikiana na Taasisi ya
kujenga uwezo kwa watu kujiletea maendeleo Afrika (AICAD)
wanatangaza mafunzo ya ufugaji bora wa kuku yatakayofanyika
kuanzia tarehe 17 – 20 Novemba, 2025.
Ukumbi wa Taasisi ya Elimu ya
Kujiendeleza (ICE). Read More…
Pata fomu ya usajili hapa KUPAKUA FOMU BOFYA HAPA…
